• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

DC MALISA ATOA ONYO KALI KWA WAPOTOSHAJI JIJINI MBEYA

Imewekwa Tarehe: February 7th, 2023


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mheshimiwa Beno Morris Malisa ametoa onyo kali kwa watu wote wanaojihusisha na mambo ya kupotosha umma katika masuala mbalimbali katika Wilaya ya Mbeya.

Ameyasema hayo alipotembelea Shule ya Sekondari ya Sinde mara baada ya kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zinazowaonyesha wananfunzi wakiwa wamekaa chini darasani.

“Katika tukio mlioliona leo na uhalisia mliojionea ndugu wanahabari na viongozi nilioambatana nao ni upotoshaji kwa asilimia mia moja na moja kwa moja lina viashiria vyenye lengo la kukinzana na juhudi za serikali, utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na hasa maono ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ana dhamira ya dhati ya kuinua elimu ya nchi hii na amefanya kwa vitendo kama ambavyo madarasa yanavyoonekana madawati yanavyoonekana na dhana nzima la elimu bure kwa sekondari na kwa msingi hivyo nitoe wito kwa vijana wote ilihali wapo kwenye taaluma za mafunzo kuepuka kabisa vitendo hivi vya upotoshaji dhidi ya juhudi za maendeleo za serikali, hatua za kinidhamu zitafuata kwa wanaoendeleza tabia hizi niwaombe na kuwataka  wawe na mioyo na dhamira ya kuisaidia serikali na wawe chachu ya serikali kuwaletea maendeleo wananchi wake na wanafunzi badala ya kuwa wapinzani”. Alisema DC Malisa


Nae Diwani wa Kata ya Sinde Mheshimiwa Fanuel Kyanula katika maelezo yake alielezea kuwa kilichotokea ni upotoshaji na aliyefanya tukio hilo alikuwa na nia ovu kwani siku moja kabla ya tukio mtuhumiwa huyo aliwatoa wananfunzi madarasani kwa lengo la kuandikisha majina ya wanafunzi hao  katika Madawati kumbe lengo lake lilikuwa kuwapiga picha wanafunzi hao ili ionekane shule hiyo haina Madawati wakati tatizo la Madawati halipo shuleni hapo.

Akielezea hatua zilizochukuliwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la ambeya Wakili Triphonia Kisiga ameeleza ofisi yake tayari imeshamsimamisha Mwalimu huyo na kwakuwa alikuwa mwalimu wa kujitolea shuleni hapo ofisi yake itamwondoa shuleni asiendelee tena na mafunzo yake kwani hana nia nzuri na maadili ya kazi.

Mpaka sasa kijana huyo bwana Evarist Chonya anashikiliwa na jeshi la Polisi kwaajili ya uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili na mara baada ya uchunguzi kukamilika atafikishwa mahakani.


Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA December 30, 2022
  • FINANCIAL STATEMENT FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2021 October 19, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI SIKU YA TAREHE 28/9/2022 OFISI YA MTENDAJI WA KATA UYOLE September 27, 2022
  • TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA HALMASHAURI ZOTE KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 August 03, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YATENGA MILIONI 82 KUPAMBANA NA UDUMAVU

    February 23, 2023
  • SERIKALI KUSAINI MKATABA WA BILIONI 99 FEB 11 202..UJENZI WA MRADI WA MAJI KIWIRA.

    February 08, 2023
  • DC MALISA ATOA ONYO KALI KWA WAPOTOSHAJI JIJINI MBEYA

    February 07, 2023
  • RASMI JIJI LA MBEYA LASITISHA USAJILI WA BAJAJ

    January 31, 2023
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.