• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA IMEELEKEZWA KUANZISHA MKAKATI WA KUTOA ELIMU YA LISHE KWA WANAFUNZI.

Imewekwa Tarehe: October 22nd, 2022

Halmashauri ya jiji la Mbeya imeelekezwa kuanzisha mkakati wa kutoa elimu ya lishe bora kwa wanafunzi kuanzia darasa la tatu kwa shule zote za msingi za jiji na Wilaya ya Mbeya kiujumla hii ni kutokana  na kushika nafasi ya pili kimkoa kwenye suala la lishe.

Akitoa maelekezo hayo kwenye hafla ya utiaji saini mkataba  wa utekelezaji wa shughuli ya lishe kati ya Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya na Watendaji wa Kata zote 36 za jiji la Mbeya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Dr.Rashid Chuachua ameeleza kuwa kulingana na tamaduni na tabia za makabila ya Mbeya wanawake ni wajasiriamali muda mwingi wanakuwa kwenye harakati za kujitafutia kipato hali inayopelekea watoto kuwaandalia chakula watoto wenzao hivyo kuwapa elimu ya maandalizi ya chakula bora itafanikisha kuondoa tatizo hilo la utapiamlo na udumavu kwenye jamii.

“Tukiwafundisha watoto kuanzia ngazi ya msingi ili kuwaandaa watoto hao ni kutambua namna bora ya kuandaa lishe, hii ni kutokana na baadhi ya wazazi kutokuwa na muda wa kuandaa chakula nyumbani na badala yake watoto ndio wenye jukumu la kupika wawapo nyumbani” Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr.Rashid Chuachua.

Aidha Mkuu huyo wa Wilaya amemuagiza afisa lishe wa halmashauri ya Jiji la Mbeya Amani Mwakipesile kuchagua wahudumu wa afya katika mitaa yote Jijini ambao watatambuliwa na halmashauri na watafanya majukumu yote ya kazi zinazohusu afya katika jamii likiwemo suala la lishe bora kwa kutoa elimu bila kujali rika.

Naye mwakilishi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Mbeya Annamary Joseph amesema wamepokea maelekezo yaliyotolewa na Mkuu Wa Wilaya Dr.Rashid Chuachua na wanakwenda kuyafanyia kazi kwa vile kuwepo kwa utapiamlo katika jamii hasa ya Wilaya zilizopo kwenye Mkoa wa Mbeya ni aibu kwavile Kuna kila aina ya chakula ambacho kinaweza kupambana na udumavu na utapiamlo.

Kwa upande wa watendaji wa kata na mitaa,  Faraja Wila kutoka  kata ya Iganjo na Furaha Malele kutoka mtaa wa Ilomba, jijini Mbeya wamesema wanakwenda kutekeleza agizo hilo ili watoto wapate kuelewa  wa namna vyakula vya lishe vinavyoandaliwa .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan Septemba 30 alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla iliyoratibiwa na ofisi ya Rais-TAMISEMI ya utiaji saini mkataba wa usimamizi wa shughuli za lishe iliyofanyika kwenye viwanja vya ukumbi wa mikutano wa Jiji la Dodoma uliopo Mtumba.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.