• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YATENGA MILIONI 82 KUPAMBANA NA UDUMAVU

Imewekwa Tarehe: February 23rd, 2023

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imetenga kiasi cha shilingi milioni themanini na mbili (82,000,000/=) kwa ajili ya upimaji na utekelezaji wa mkataba wa afua za lishe ili kukabiliana na tatizo la udumavu kwenye shule za sekondari na msingi mpango ambao unafanywa kwa pamoja na Jiji la Zurich la nchini Uswisi.

Akiongea kwenye kikao kazi cha pamoja kati ya madiwani na watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mhe.Dormohamed Issa amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashauri ilitenga kiasi cha shilingi milioni 80 sawa na shilingi elfu moja (1,000/=) kwa kila mtoto wa chini ya miaka mitano.

Aidha Mstahiki Meya ameongeza kuwa kwa kuzingatia umuhimu wa chakula na lishe bora mashuleni ikiwa mpango wa kupambana na udumavu kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri ya Jiji la Mbeya limetenga kiasi cha shilingi milioni themanini na mbili (82,000,000/=) kwa ajili ya shughuli za lishe.

Mh.Dormohamed Issa amewataka Madiwani na watendaji kuhamasisha jamii kushiriki katika mpango wa utoaji chakula mashuleni,kuhakikisha zoezi la siku za afya na lishe za mtaa zinafanyika kulingana na muongozo,kuchochea na kuibua fursa za kilishe ili kupata suluhu za kutatua matatizo ya kilishe kwenye jamii.

Pamoja na hayo Madiwani na watendaji Kata wametakiwa kufanya tathimini na kujadili taarifa za lishe kwenye mitaa pamoja na kuhakikisha wadau wa lishe wote waliopo katika Kata wanatambulika na kuwasilisha taarifa zao na kufuatilia utekelezaji wa shughuli za lishe na kuifanya lishe kuwa ajenda ya kudumu ndani ya vikao vya Kamati ya Maendeleo ya Kata (KAMAKA).

Mstahiki Meya wa Jiji Mh.Dormohamed Issa amefafanua kuwa mkataba wa lishe na mapamabano dhidi ya Udumavu watahakikisha unatekelezwa kikamilifu kwa vile ni agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan alilolitoa katika mkutano mkuu wa sita wa kitaifa wa tathimini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe mnamo tarehe 30.09.2022 Jijini Dodoma.

Mradi wa IC4N utaongeza nguvu na kufikia malengo ya mapambano dhidi ya Udumavu Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa kushirikiana na Jiji la Zurich nchini Uswisi wanakusudia kusaini makubaliano ya awali ya kutekeleza mradi wa lishe ambapo Jiji la Mbeya litakuwa mnufaika mkuu kwa kusaidi juhudi za kuboresha na kuimarisha mifumo ya chakula kwa wakazi Jiji hili.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.