• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

JIJI LA MBEYA KUANZA KUTOA CHANJO YA POLIO TAREHE 1-4 MWEZI DISEMBA MWAKA HUU

Imewekwa Tarehe: November 25th, 2022

Halmashauri ya jiji la Mbeya inatarajia kuanza kampeni ya chanjo ya polio  awamu ya nne  itakayoanza tarehe 1 – 4  mwezi Disemba  mwaka huu ambapo watoto Zaidi ya  1,00000 wanatarajiwa kufikiwa na chanjo ya polio.

Akizindua kikao cha kuelekea kampeni ya chanjo ya polio na ugawaji wa chanjo ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele mkuu wa wilaya ya Mbeya ambae pia ni mwenyekiti wa  kamati ya afya msingi wilaya  Dkt. Rashid Chuachua amesema hii ni hatua kubwa kwa ajili ya kupambania afya za watanzania chanjo hiyo itasaidia kuwakinga watoto juu ya ugonjwa polio  na kuwataka wananchi wote  wa Mbeya kujitokeza kuwapeleka watoto wao chini ya miaka 5  kupata chanjo hii kwa ajili ya kuhakikisha kwamba watanzania wanaepukana na ugojwa wa pilio unaoweza kusababisha ulemavu kwa watoto.

Kwa upande wake Dkt. Jonas Lulandala mganga mkuu wa halmashauri ya jiji la Mbeya ameeleza kuwa   ugonjwa wa polio uliibuka nchini Malawi ambapo kwa nchini Tanzania  kampeni ya chanjo ya ugonjwa polio  ilianza mezi  Machi waka huu huku lengo kubwa ni kuwakinga watoto ili wasiambukizwe na ugojwa hatari wa polio.

Mratibu wa chanjo jiji la Mbeya Zuhura Mohammed amesema kuwa wanachi waendelee kutoa ushirikiano kwa wahudumu wa afya watakao pita nyumba kwa nyumba , kama awamu zilizopita za kampeni hiyo ambapo wazazi wenye watoto chini ya uri wa miaka 5 waweze kuhurusu watoto wao kupata chanjo ya polio.

Ikumbukwe kuwa ugonjwa wa polio uliibuka nchini Malawi mnamo mwezi wa Februari  mwaka huu, ambapo Tanzania imewekeza nguvu kutoa kinga  kwa wananchi wake ili kudhibiti uwezekano wa kuibuka kwa mlipuko  wa ugonjwa huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.