• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

JIJI LA MBEYA LATUMIA BIL 1.5 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU MSINGI NA KUJENGA SHULE MBILI MPYA

Imewekwa Tarehe: September 19th, 2023

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.5 kukarabati miundombinu ya shule za masingi na awali sambamba na kujenga shule mbili mpya kwenye Kata za Ilomba na Ilemi kupitia mradi wa kusaidia uboreshaji wa miundombinu ya shule za msingi na awali (BOOST).

Akizungumza na wananchi wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mh.Dormohamed Issa amesema Halmashauri ilipokea zaidi ya shilingi bilioni 1.5 , kupitia fedha hizo baraza la madiwani lilipitisha kiasi cha shilingi 1,077,000,000. kujenga shule mpya mbili ambazo zinajumuisha miundombinu ya elimu ya msingi na awali kila moja ikigharimu milioni 538,500,000.

Mstahiki Meya ameendelea kufafanua kuwa kiasi kilichobaki kilijenga madarasa ya mfano elimu msingi na awali kwenye baadhi ya shule zilizo na changamoto katika sekta ya elimu.

“Tumeangalia vigezo katika Kata hizo kulikuwa na idadi kubwa ya wanafunzi ,ambayo ilisababisha msongamano wa wanafunzi kwenye vyumba vya madarasa na kusababisha utoro ,wanafunzi kushindwa kusoma kwa bidii na walimu kushindwa kufundisha kwa weredi” amesema Mstahiki Meya.

Mh.Dormohamed ameishukuru serikali ya awamu ya sita iliyochini ya Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini Mh.Dkt. Tulia Ackson kwa kuishawishi serikali kuleta miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Jiji la Mbeya.

Aidha Mstahiki Meya ametumia fursa hiyo kuwahimiza wazazi na walimu kusimamia utunzaji wa miundombinu hiyo kwa vile serikali imewekeza fedha nyingi isije ikatokea baada ya muda mfupi kufanyike uharibifu hilo halitakubalika.

Diwani wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya Ladislaus Magoma amesema kuwa ujenzi wa miradi ya elimu ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020/2025 kwa serikali ya awamu ya sita kwa ujenzi huu wa shule mbili ni ukombozi kwani awali kulikuwa na changamoto ya msongamano wa wanafunzi kwenye vyumba vya madarasa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.