• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

KAMATI YA MIPANGO MIJI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA

Imewekwa Tarehe: April 16th, 2024


Kamati ya Mipango Miji na Mazingira ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya,imefanya ziara ya  kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara zilizopo kata za Ghana na Isanga, jijini humo.

Ziara hiyo imefanyika leo tarehe 16 Aprili, 2024 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mwajuma Tindwa ambaye amesisitiza umuhimu wa watendaji wa Halmashauri kusimamia miradi hiyo kwa karibu ili imalizike kwa wakati.

Awali akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Jiji Bi. Annamary Joseph amesema Halmashauri ya Jiji la Mbeya imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ya Jiji ili kwenda sambamba na kasi ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwaondolea kero wananchi.

Kwa upande wake Mhandisi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Eng.Leonard Mosea amesema Jiji limepokea maelekezo yaliyotolewa na Kamati na kuahidi kufuatilia ukamilishwaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ya barabara.

Amesema ujenzi wa barabara ya Iziwa iliyopo kata ya Ghana yenye urefu wa kilomita 2  inayotarajiwa kukamilika  ifikapo Februari 2025 na barabara ya Mbwiga iliyopo kata ya Isanga  yenye urefu wa kilomita 0.55 inayotarajiwa kukamilika ifikapo  mwezi Juni, 2024.

Pamoja na ujenzi wa barabara hizi, Halmashauri ya Jiji la Mbeya inatekeleza Programu ya TACTIC awamu ya kwanza, inayofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya Shilingi Bilioni 21. Barabara zinazofadhiliwa na programu hii ni pamoja na barabara ya  Uyole- Itezi (KM. 1.8), Block T- SIDO (KM.1.2), Ilomba- Machinjioni (KM. 3.8) na barabara ya Kalobe (KM. 3.5) ambazo ujenzi wake uko katika hatua mbalimbali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.