• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA MBEYA IMEPANGA KUANZA OPERESHENI YA KUKAMATA WANAOHARIBU VYANZO VYA MAJI

Imewekwa Tarehe: October 28th, 2022

Kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Mbeya imepanga kuanza kufanya operesheni ya kukamata wanaoharibu vyanzo  vya maji  kwenye safu ya milima Mbeya kuanzia tarehe 5 Novemba mwaka huu kufuatia kutoweka kwa vyanzo vingi vya maji.

Akitoa maelekezo  baada ya kupewa nafasi na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mh.Dormohamed Issa kwenye kwenye kikao cha baraza la madiwani, Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt.Rashid Chuachua amesema  operesheni hiyo inalenga kudhibiti  uharibifu wa mazingira unatokana na kuchepushwa kwa mikondo ya vyanzo vya maji na kuchomwa moto kwa uotowa asili unaotunza vyanzo vya maji unaoendelea kutokea katika baadhi ya maeneo ya mlima Mbeya.

Aidha huyo wa Mkuu wa Wilaya amewasisitiza madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kuunga mkono jitihada hizo zitakazoanza kufanywa na kamati hiyo, na kutofumbia macho uharibifu huo wa vyanzo vya maji na mzingira unaoweza kuleta athari za mazingira na viumbe hai wakiwemo binadamu.

Daktari Chuachua ameongeza kuwa uharibifu huo unachangiwa na uwepo wa shughuli za binadamu kwenye maeneo ya vyanzo vya maji ukiwepo uchomaji wa mkaa,  Uwindaji na shughuli za kilimo ambapo baadhi ya wananchi uchepusha maji kutoka katika vyanzo vya maji  na kuyaelekeza kwenye mashamba yao.

Mstahi Meya wa Jiji la Mbeya Mh.Dormohamed Issa amesema kwa niaba ya Baraza la madiwani na madiwani wenzake wanatambua umuhimu wa vyanzo vya maji na maji hivyo wanatarajia kutoa ushirikiano wakutosha ili kuitokomeza tabia ya uharibifu wa vyanzo vya maji katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Wilaya ya Mbeya kiujumla.

Kwenye Wilaya ya Mbeya kumeanza kujitokeza kukauka na kupotea kwa baadhi ya vyanzo vya maji  ambapo imeelezwa kuwa  katika eneo la milima Mbeya kulikuwa na vyanzo vya maji 49 kutokana na uharibifu huo unaotokana na shughuli za kibinadamu vyanzo vimebakia 12 jambo ambalo ni hatari kwa afya ya binadamu na mazingira.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.