• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MABADILIKO YA MFUMO UONDOSHAJI TAKA WAIPA JIJI LA MBEYA NAFASI YA PILI

Imewekwa Tarehe: May 13th, 2024

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeshika nafasi ya pili katika mashindano ya usafi wa mazingira na afya ulioshindanisha majiji sita(6) yaliyopo Tanzania na kutunukiwa cheti pamoja na Shilingi Milioni Mbili.

Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mhe.Dormohamed Issa amesema ushindi huo umetokana na umoja ambao wananchi wa JiJi la Mbeya wameuonesha katika suala zima la kupambana na uchafu uliokuwepo siku za nyuma.

Mstahiki Meya ameongeza kuwa kwenye mashindano hayo yaliyoratibiwa na Wizara ya Afya yalilenga usafi wa mazingira katika maeneo ya mikusanyiko ikiwepo Sokoni,vyoo vya umma,mitaro ya maji,maeneo yenye matumizi ya maji salama na matumizi ya vyoo vya kisasa.

Mshindi  wa  kwanza katika mashindano ni Jiji la Tanga lililopata jumla ya alama 124 kwa 124 huku mshindi wa pili Halmashauri ya jiji la Mbeya likiibuka na alama 97 kati ya 124 kwenye mashindano hayo ambayo yalizinduliwa na Makamu wa Rais Mhe.Philip Isdor Mpango Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani na vyeti kutolewa na Waziri mwenye dhamana ya Afya Mhe.Ummy Mwalimu.

Naye Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bw.Neemia Mwakatobe amesema awali kulikuwa na changamoto ya uwezo mdogo wa kumudu mfumo wa uondoaji taka kwa kutumia makontena 115 hali iliyosababisha kushika nafasi ya mwisho kwa miaka mitatu mfululizo katika mashindano hayo ya majiji sita ambayo niDodoma, Mwanza, Arusha, Dar es Salaam, Tanga na Mbeya.

Afisa mazingira huyo ameongeza kuwa baada ya mafunzo waliyoyapata Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro mwaka 2022, mfumo wa kutumia magari ya kuondoa taka ulianza na wazabuni wadogowadogo na kisha kuingia mkataba na shirika la Uchumi na Maendelo la jeshi la kujenga Taifa (SUMAJKT)sambamba na kutoa elimu kwa wananchi kutumia mfumo huo uliowezesha kupata ushindi wa pili.

Mwakatobe ameongeza kuwa kwasasa kilichobakia ni kuendelea kuielimisha jamii ya wananchi wa Jiji la Mbeya ili kuimarisha suala la tabia ya kutotupa taka hovyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.