• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MATAIFA ZAIDI YA 30 YATHIBITISHA KUSHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA KILIMO NANENANE 2023 MBEYA, MH. RAIS DKT. SAMIA KUFUNGA MAONESHO.

Imewekwa Tarehe: June 27th, 2023

Mataifa zaidi ya thelathini yamethibitisha kushiriki maonesho ya kimataifa ya kilimo maarufu nanenane mwaka 2023 yatakayofanyika kanda ya nyanda za juu kusini kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya kuanzia Julai 25 na kilele chake kufikia Agasti 8.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya wakuu wa mikoa ya Songwe,Katavi,Rukwa,Ruvuma,Iringa na  Njombe inayounda kanda ya Nyanda za juu Kusini Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera amesema awali zilitarajiwa nchi 11 kushiriki lakini kutokana na aina ya maandalizi na umuhimu wa maonesho hayo kumekupo na ongezeko ambalo linapelekea kufikia zaidi ya nchi 30.

Mh.Juma Homera ameongeza kuwa maonesho ya mwaka huu yatabebwa na kaulimbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni msingi imara wa mfumo endelevu wa chakula” ikiwa ni muelekeo wa mkutano wa jukwaa la mifumo ya chakula Afrika (Africa food Forum) 2023 utakaofanyika tarehe 5-8 Septemba Jijini Dar es salaam.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa wa Mbeya ameeleza kuwa maonesho ya kimataifa ya Kilimo mwaka huu yanataraji kufunguliwa na Mh.Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdory Mpango tarehe 1 Agast na kufungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 8 Agasti 2023 ambayo ni siku ya Kilele.

Nchi ya India ambayo ni mteja mkubwa wa zao la parachichi kutoka Kanda ya nyanda za juu kusini ilithibitisha mapema mwezi April mwaka huu wakati balozi wake nchini Tanzania Bwana.Binaya Pradhan alipofanya ziara yake ya kikazi Mkoani Mbeya na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Juma Homera.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.