• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MKURUGENZI NCHIMBI AANZA KAZI RASMI JIJI LA MBEYA

Imewekwa Tarehe: July 3rd, 2023

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya John Nchimbi ameanza kazi rasmi baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Wakili Triphonia Kisiga kwenye hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mstahiki Meya uliopo ndani ya jengo la Halmashauri yaJjiji la Mbeya.

Akiongea na Wakuu wa idara na vitengo wakati wa hafla hiyo Nchimbi amewataka watumishi kuwajibika kwenye utendaji na kuwaeleza kuwa anatarajia kuanza upya bila kuhitaji maneno ya kuchongea wala kuhitaji kujua tabia za watumishi kwavile ataona kila aina ya tabia na matendo wakati wa utendaji kazi hivyo kila mwenye changamoto na asiyenazo anatakiwa kuanza upya na kutenda kazi kwa mujibu wa kiapo chake.

Aidha Mkurugenzi huyo wa Jiji amewataka watumishi kutokuwa na hofu juu ya utendaji wao sababu nani yuko kwenye uongozi au madaraka hivyo kila mtumishi anatakiwa kuwajibika na kutambua kuwa kiongozi anawajibu wa kufuata Sheria,Kanuni na taratibu katika kutenda haki.

“Sina haja ya kuambiwa nani mbaya nani mzuri nataka tuanze upya kila baya na zuri nitaling`amua mwenyewe kwa kuona utendaji kazi wa mmoja mmoja ,idara na vitengo tuna fursa ya kuanza upya katika kuendelea kulijenga Jiji letu la Mbeya”amesema John Nchimbi Mkurugenzi wa Halmashauri jiji la Mbeya.

Kwa upande wake aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Wakili Triphonia Kisiga amemkaribisha Mkurugenzi Nchimbi na amemuahidi ushirikiano wakutosha katika utendaji na mipango ya kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo la Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mh.Dormohamed Issa amempongeza na kumshuruku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kumteua John Nchimbi kuwa Mkurugenzi hivyo yeye na Baraza la madiwani watampa ushirikiano mkubwa na kuendelea kuunganisha nguvu kwa ajili ya kufanikisha mipango na miradi mbalimbali ya maendeleo kwa manufaa ya wakazi wa Jiji la Mbeya na Mkoa wa Mbeya kiujumla.

Baada ya kushuhudia makabidhiano hayo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa amempongeza aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Wakili Triphonia Kisiga kwa utendaji kazi mzuri na kumkaribisha Bw.John Nchimbi katika majukumu yake kisha akawataka watumishi kuzingatia kauli ya kuanza upya katika kuendeleza kuiboresha na kuijenga Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.