• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

RC DENDEGO AONGOZA MATEMBEZI VIVUTIO VYA KITALII MKOANI IRINGA

Imewekwa Tarehe: November 10th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshima Halima Dendego ameeleza kuwa uwepo wa vivutio vizuri na vya kipekee vya Utalii katika mikoa ya Kusini mwa Tanzania ni fursa kwa wananchi wa mikoa hiyo kuendelea kunufaika kiuchumi kutokana na shughuli za utalii zinazofanyika.

Dendego ameyasema hayo leo Novemba 10, 2022 mkoani Iringa alipokuwa akitembelea baadhi ya vivutio vinavyo patikana katika mkoa huo ikiwa ni mwendelezo wa kutangaza vivutio vinavyo patikana   katika mikoa kumi ya Kusini ambayo ni Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Morogoro, Songwe, Rukwa na Katavi.

Aidha Mkuu wa mkoa huyo ameeleza kuwa uwepo wa vivutio vizuri na vya kipekee vya Utalii katika mikoa ya Kusini mwa Tanzania ni fursa kwa wananchi wa mikoa hiyo kuendelea kunufaika kiuchumi kutokana na shughuli za utalii zinazofanyika

Dendego anaongeza kuwa ni muda wa  wadau mbalimbali wa Utalii kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ikiwemo Hifadhi ya Taifa Nyerere ambayo ni kubwa kuliko zote Tanzania na Afrika ,Hifadhi za Taifa Ruaha, Mikumi, Udzungwa, Kitulo na Katavi.

Kwa upande wao baadhi ya wadau wa utalii ambao waliungana kutembelea vivutio hivyo wameshauri serikali kuendelea kutoa elimu kwa vijana namna ya kutunza na kuthamini vivutio vilivyopo kwenye jamii inayo wazunguka.

Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA December 30, 2022
  • FINANCIAL STATEMENT FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2021 October 19, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI SIKU YA TAREHE 28/9/2022 OFISI YA MTENDAJI WA KATA UYOLE September 27, 2022
  • TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA HALMASHAURI ZOTE KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 August 03, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RASMI JIJI LA MBEYA LASITISHA USAJILI WA BAJAJ

    January 31, 2023
  • RC HOMERA AWAAGIZA WAKUU WA WILAYA KUSIMAMIA MIRADI IPASAVYO

    January 30, 2023
  • WILAYA YA MBEYA YATEKELEZA AGIZO LA RAIS YAKABIDHI VISHIKWAMBI 1835 KWA WALIMU.

    January 14, 2023
  • SERIKALI YAANZA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU ILIYOHARIBIWA NA MAFURIKO MBEYA

    January 11, 2023
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.