• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

RC HOMERA AWAAGIZA WAKUU WA WILAYA KUSIMAMIA MIRADI IPASAVYO

Imewekwa Tarehe: January 30th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera amewataka wakuu wa Wilaya kusimamia ipasavyo miradi ya maendeleo ya sekta mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo yao kwasababu kufanya hivyo ni kumsaidia ipasavyo Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Akiongea kwenye hafla ya kuapishwa kwa wakuu wa Wilaya tatu ziliopo kweye Mkoa wa Mbeya Homera amesema Mh.Rais anatoa fedha kwaajili ya miradi ya maendeleo kwa wananchi hivyo kuna kila sababu wateule wake watekeleze maono yake kwenye sekta mbalimbali zikiwemo sekta ya Elimu Msingi na Sekondari,Afya ,Maji na Miundombinu ya usafirishaji zikiwemo barabara.

Wakuu wa Wilaya wapya watatu wameapishwa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera kufuatia mabadiliko na uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Wateule hao wa Mh.Rais Samia Suluhu Hassan walioapishwa kwenye Mkoa wa Mbeya ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mh.Japhari Haniu ,Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mh.Josephine Manase na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa ambao baada ya kiapo cha Ukuu wa Wilaya kwa pamoja waliapa kiapo cha uadilifu.

Baada ya zoezi hilo la uapishwaji aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ambaye kwasasa ni Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mh.Dkt.Rashidi Chuachua amemkabidhi rasmi ofisi Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh. Beno Malisa kwa ajili ya kuanza kazi ya kuitumikia Wilaya ya Mbeya.

Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA December 30, 2022
  • FINANCIAL STATEMENT FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2021 October 19, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI SIKU YA TAREHE 28/9/2022 OFISI YA MTENDAJI WA KATA UYOLE September 27, 2022
  • TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA HALMASHAURI ZOTE KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 August 03, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YATENGA MILIONI 82 KUPAMBANA NA UDUMAVU

    February 23, 2023
  • SERIKALI KUSAINI MKATABA WA BILIONI 99 FEB 11 202..UJENZI WA MRADI WA MAJI KIWIRA.

    February 08, 2023
  • DC MALISA ATOA ONYO KALI KWA WAPOTOSHAJI JIJINI MBEYA

    February 07, 2023
  • RASMI JIJI LA MBEYA LASITISHA USAJILI WA BAJAJ

    January 31, 2023
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.