• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

SERIKALI KUSAINI MKATABA WA BILIONI 99 FEB 11 202..UJENZI WA MRADI WA MAJI KIWIRA.

Imewekwa Tarehe: February 8th, 2023

Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Wizara ya Maji na Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira Mbeya umeandaa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji Kiwira kutoka chanzo cha maji cha Mto Kiwira itakayofanyika tarehe 11 Februari 2023 viwanja vya shule ya Hasanga iliyopo Uyole Jijini Mbeya mkataba ukiwa na thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 99.

Akiongea na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera amesema mradi huo wa maji unatarajia kujengwa na kampuni ya China Railway Construction Engineering Group kwa kushirikiana na kampuni ya China Railway No.4 kutekelezwa kwa awamu ambapo awamu ya kwanza ya ujenzi utakuwa kwa miaka miwili ukitarajiwa kuanza Februari 25 2023 na itakamilika Februari 24 2025 chini ya usimamizi wa Wizara ya Maji na Mamlaka ya Maji Mkoa wa Mbeya.

Kukamilika kwa mradi huo kunatarajia kuongeza uzalishaji wa maji kutoka lita milioni 66.5 kwa siku mpaka kufikia lita milioni 184 na kwa uhakika wa huduma , Mamlaka itaongeza huduma ya maji kwa wananchi kutoka asilimia 80 mpaka kufikia asilimia 95 na itaongeza huduma ya maji kwa wananchi kutoka wastani wa masaa 19 hadi masaa 24 baada ya mradi kukamilika.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa masuala ya ufundi Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mhandisi Barnabas Konga amesema mradi huo wenye awamu tatu ukikamili unatarajia kugharimu shilingi bilioni 250.

Mhandisi Barnabas Konga ameendelea kufafanua kuwa awamu ya kwanza itaanza na ujenzi wa banio lenye uwezo wa kuchukua maji lita milioni 117 kwa siku yatakayo safirishwa kwa njia ya mseleleko kwa umbali wa kilomita 26 mpaka eneo la Ikuti ambapo maji yatatibiwa kisha kupelekwa eneo la Forest ya zamani kutakakojengwa tanki la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni tano.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera katika zoezi la utiaji saini mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Wizara ya Maji Mh.Jumaa Aweso.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.