• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

SERIKALI MKOA WA MBEYA YAWATIA MBARONI WATUHUMIWA WA WIZI WA MAPATO …14 WAPANDISHWA KIZIMBANI.

Imewekwa Tarehe: August 28th, 2023

Watuhumiwa 14 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za wizi wa fedha zaidi ya milioni 382 Mapato ya serikali kwa njia ya mtandao kwa kifaa cha ukusanyaji mapato POS mkoani Mbeya na baadhi ya mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu kusini.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya kuzui na kupambana na rushwa Mkoa wa Mbeya Vangsada Mkalimoto amesema watuhumiwa hao wamepandishwa makahamani kwa makosa ya Uhujumu Uchumi,Utakatishaji fedha,Utengenezaji wa genge la uhalifu na makosa ya kimtandao.

Mkalimoto ameeleza kuwa kati ya watuhumiwa 14 waliofikishwa mahakamani yupo Bwana Robert Beleta mkazi wa Jijini Dar es salaam ambaye ni mmiliki wa mtandao huo unaotuhumiwa kwa wizi wa fedha za mapato ya serikali.

Katika uchunguzi wa awali Takukuru wamebaini kila kifaa (POS) kilikusanya kiasi gani cha fedha na wamebaini mali zinazomilikiwa na watuhumiwa hao hivyo utaratibu wa kuzishikilia unaendelea kwa mujibu wa sheria.

Watuhumiwa waliopandishwa mahakamani hii leo ni Isaya Andambwile Gerald mtendaji wa kijiji Halmashauri ya Busokelo,Zuheri Abass Mkwama,Bwigane Mwamelo ,Patrick Mwangali na Khalid Abdallah Habib hawa ni wakusanya ushuru Wilaya ya Mbarali.

Watuhumiwa wengine ni Fadhili Fred Lwesya mfanyabiashara mkoani Mbeya,Daniel Juma Mtweve mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Tunduma,Tariq Paul Samson mkusanya ushuru Halmashauri ya Rungwe na Ulimboka Adamson mkusanya ushuru Halmashauri ya Mji Tunduma.

Awali akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera ,Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mh.Kanali Denis Mwila amesema mtandao huo na wizi wake upo na tayari wamewakamata watuhumiwa 40 pamoja na mmiliki wake Bwana Robert Baleta kutokea Dar es salaam.

Kanali Mwila ameongeza kuwa wataendelea kutekeleza maagizo aliyoyatoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa Agosti 27 2023 na mengine ya awali katika kulinda na kutetea fedha za serikali kwa ajili ya maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi wake.

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.