• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA AGUSWA NA KILIO CHA WANANCHI WALIOKUMBWA NA MAFURIKO JIJINI MBEYA

Imewekwa Tarehe: January 9th, 2023

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Januari 8, 2023 amefanya ziara ya kuzitembelea kaya zilizoathirika na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha kwenye Mkoa wa Mbeya.

Akizungumza akiwa kwenye ziara hiyo Dkt. Tulia amesema amejionea athari ya mvua hiyo ikiwemo uharibifu wa miundombinu, nyumba na mali mbalimbali za wananchi katika maeneo ya Kata za Igawilo, Uyole, Iganjo na Iduda huku Kaya chache zikikosa makazi kufuatia nyumba zao kubomolewa na mafuriko hayo.

Dkt. Tulia amewapa pole wahanga wa mafuriko hayo na kuwaahidi atashirikiana na Serikali kuhakikisha wanaboresha miundombinu ya Jimbo hilo ili kuwezesha kupunguza athari kama hizo zisijitokeze tena.

Pamoja na mambo mengine Dkt. Tulia ametoa msaada kilo 800 za mchele na kilo 200 za maharage kwa wahanga hao huku akiahidi kushirikiana na mamlaka za Serikali na wadau ili kufanikisha upatikanaji wa misaada zaidi.

“Ndugu zangu niwape pole sana kwa haya maswahibu yaliyowakuta, niwahakikishie Serikali yenu tukufu ipo nanyi katika kipindi hiki na nimeongea na Mheshimiwa Waziri Mkuu kumuelezea haya na amenihakikishia kwamba watakuja kufanya tathimini ili kuona hatua ya kufanya ili kukabiliana na janga hili” Amesisitiza Dkt. Tulia

Kwa upande wa Mkuu Wa Wilaya ya Mbeya Dr.Rashid Chuachua amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Tulia Ackson kwa kuwakimbilia na kuwapole wananchini wa Kata zilizokumbwa na mafuriko ambapo kwa sasa Halmashauri ya jiji la Mbeya inafanya tathimini ya kujua madhara na athari kiasi gani zilizojitokeza.

Pamoja na hayo Halmashauri ya Jiji la Mbeya limemuunga mkono Mh.Spika Dr.Tulia Ackson kwa kutoa kilo 200 za mchele na kilo 200 za Maharage kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa mafuriko hayo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.