• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

TAASISI YA TULIA TRUST NA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MBEYA ZACHANGIA UJENZI WA UZIO LEGICO SEKONDARI

Imewekwa Tarehe: March 31st, 2023

Taasis ya Tulia Trust imechangia mifuko hamsini(50) kwa Shule ya Sekondari Legico iliyopo kwenye Kata ya Majengo Jijini Mbeya kwa ajili ya ujenzi wa uzito wa shule hiyo.

Akiongea katika hafla ya kukabidhi mchango huo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa kwa niaba ya Mkurugenzi wa taasisi ya Tulia Trust Mh.Dr.Tulia Ackson Spika wa Bunge la  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewata wazazi na bodi ya shule kusimamia vyema ujenzi wa uzio utakao wawekea wanafunzi mazingira mazuri ya ujifunzaji kwa kuwatenganisha na shughuli zingine za kijamii zinazoendelea kutoka kwa wananchi jirani na shule hiyo.

Mkuu huyo wa Wilaya ameongeza kuwa ofisi yake itachangia tofali 500 kwa ajili ya kuongeza kasi ya ujenzi huo na kuwahaidi wazazi,walimu na wajumbe ya bodi ya shule hiyo atawatembelea mara kwa mara ili kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi ambao utaleta tija katika mazingira ya shule.

Aidha Mh. Malisa amefafanua kuwa huo ni utekelezaji wa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera ambaye amewataka wakuu wa Wilaya wote mkoani Mbeya kuhakikisha Shulke zinakuwa na Uzio na suala la chakula kwa wanafunzi linatekelezwa ipasavyo.

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa amewataka wazazi kupambana kuhakikisha watoto wanapata chakula wawapo shule kwa ajili ya afya na shibe ili waweze kuzingatia kile wanachofundishwa lengo likiwa kuongeza wastani wa ufaulu kutoka C mpaka kufikia A.

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Legico Bujo Kasambala amesema Shule ya Sekondari Legico ilianzishwa mwaka 1954 ikiwa na wanafunzi 269 wasichana 135 na wavulana 134 ambapo mpaka kufikia mwezi Octoba 2022 Shule imekuwa na wanafunzi 2359 Wavulana wakiwa 1,191 na Wasichana 1,168 huku ikiboresha ufaulu uliopelekea wanafunzi kuchanguliwa kujiunga na kidato cha tano na wengine kujiunga na Vyuo vya Serikali na vinavyotambuliwa na Serikali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.