• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Imewekwa Tarehe: May 16th, 2025

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imefanya kongamano maalumu kwa  vijana lililolenga kuwawezesha vijana  katika fursa zinazo tolewa na Serikali ili kujikwamua  kiuchumi na kuwapa maarifa kuhusu uongozi, uzalendo na malezi bora.

Kongamano hilo limeandaliwa na Idara ya Maendeleo ya Jamii  Halmashauri ya Jiji la Mbeya, jukwaa lenye malengo muhimu kama vile  kutoa elimu na mbinu mbalimbali  zitakazowasaidia kuwaendeleza  vijana katika nyanja mbalimbali za maisha

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo, Afisa Maendeleo wa Jiji, Bi. Rita Mushi ambaye pia ndiye mratibu, , ameeleza kuwa lengo kuu ni kumjenga kijana wa sasa kuwa mzalishaji na mtoa mchango kwa maendeleo ya Taifa.

Amesema kongamano hilo limekusanya vijana kutoka Kata mbalimbali ili kuwapa mbinu za kutambua  fursa  zinazotolewa na Serikali ikiwa ni pamoja na  ajira,mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri  ili kuinua uchumi wa Taifa letu

Akimuwakilisha Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya,  Bi.Nimwindaeli Danieli, ambaye ni Afisa Utamaduni, Sanaa na Michezo Jiji la Mbeya, amesisitiza umuhimu wa ushiriki wa vijana katika shughuli za kijamii na Kitaifa.

Ametaja  kuwa katika Mbio za Mwenge wa Uhuru zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni, miradi mbalimbali ya maendeleo itazinduliwa, akihimiza vijana kushiriki kikamilifu huku wakisistizwa  kuonyesha uzalendo.

Miongoni mwa wawezeshaji waliotoa mada katika kongamano hilo ni Cosmas Kyovecho aliyetoa mada kuhusu fursa za kiuchumi kwa vijana

Kwa upande wake  Dkt.Adrian Balongo amezungumzia uongozi na uzalendo, Bi. Saada Mbalamwezi ametoa elimu ya afya ya uzazi, na Imelda Mlungo aliyegusia suala la malezi na makuzi kwa vijana wa leo.

Vijana wamelipokea Kongamano hilo huku wakitaja ni moja ya njia nzuri kwao kupata mbinu mpya na kuwaongezea maarifa ya kuzitambua fursa zilizopo ambao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.