• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

VIWANJA 159 VYA WALIOSHINDWA KULIPIA KUUZWA TENA JIJINI MBEYA.

Imewekwa Tarehe: May 16th, 2024

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeviingiza sokoni viwanja 159 vya wananchi walioshindwa kufikia nusu ya malipo ya viwanja  walivyouziwa tangu mwaka 2018  jijini Mbeya na kuwataka wananchi kuchangamkia fursa hiyo.

 Kwa mujibu wa Tangazo la Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Bw. John  Nchimbi lililotolewa hivi karibuni uamuzi huo unatokana na wananchi hao kukiuka masharti yaliyowekwa ya kulipa ndani ya miezi mitatu mara baada ya malipo ya awali kwa kutokamilisha malipo licha ya kukumbushwa mara kwa mara kufanya hivyo.

Katika tangazo hilo Mkurugenzi ameeleza kuwa viwanja vinavyopatikana  kwa sasa ni  kwa ajili ya Makazi, Biashara, Maeneo ya Taasisi na Nyumba za ibada na kusisitiza kuwa viwanja vyote vilivyo sokoni vimechukuliwa kwa wananchi ambao hawajamaliza malipo yao tangu walipopewa maeneo hayo.

Aidha amewataka wananchi wote ambao hawakukamilisha malipo ya viwanja kwa wakati na kutofikia nusu ya thamani ya viwanja walivyopewa katika miradi ya viwanja ya Iziwa, Iduda, Mwansekwa na Nsalaga kutojihusisha tena na viwanja hivyo kwa kuwa wamevunja masharti kwa kutokukamilisha Malipo kwa wakati..

Mkurugenzi amewataka wananchi wote wenye mahitaji ya viwanja kwenye maeneo tajwa, kufika Halmashauri ya Jiji, Idara ya Mipangomiji na ardhi ili  kuchagua viwanja wanavyohitaji na kufanya malipo ya umiliki wa viwanja hivyo.

Halmashauri ya Jiji la Mbeya ni miongoni mwa Halmashauri chache nchini zinazo twaa na kupima maeneo mbalimbali na kuyauza kwa wananchi ili kulifanya Jiji la Mbeya kuwa katika muonekano mzuri uliopangika.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.