• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WADAU JIJINI MBEYA WAHIMIZWA KUHAMASISHA UMUHIMU WA LISHE BORA

Imewekwa Tarehe: April 3rd, 2024

Halmashauri ya Jiji la Mbeya limewasihi wadau na taasisi mbalimbali kujikita katika uelimishaji jamii juu suala la lishe na mifumo ya chakula ili kuendeleza mapambano dhidi ya udumavu Jijini Mbeya.

Akizungumza kwenye kikao maalumu cha kujadili na kupitia ajenda za lishe Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bw.John Nchimbi amesema kuna kila sababu ya kujikita katika mipango mkakati na kubuni mbinu zitakazowezesha na kuhamaisha jamii kuzingatia lishe.

Mkurugenzi huyo ameongeza kuwa watoto wakipata lishe bora tutafanikiwa kujenga taifa lenye nguvu kazi iliyo na afya bora na kupelekea kupata wataalam watakaoweza kusimamia vyema maslahi na maendeleo ya nchi.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Jiji la Mbeya Yesaya Mwasubila  amesema kuwa hali ya lishe Jijini Mbeya kwasasa  sio mbaya na amewapongeza walimu kwa kuthubutu kuzungumza na wazazi juu ya uchangiaji wa huduma ya utoaji chakula shuleni pamoja na kutaka itungwe sheria ndogo itakayowabana wazazi kuchangia chakula.

Bi.Itika Mlagalila Afisa lishe Jiji la Mbeya amebainisha athari zinazoweza kujitokeza iwapo jamiii itakosa lishe bora ikiwa ni pamoja na kushuka kwa kiwango cha uzalishaji mali kwa vile jamii itakuwa inajiuguza badala ya kufanya shughuli za uzalishaji,uwezo wa mtoto kuelewa awapo shuleni kwa kukosa viini lishe hivyo ni muhimu mama mjamzito kuzingatia lishe katika siku 1000 za ujauzito mpaka kujifungua kwake.

Aidha Bi.Judith Sarapion kutoka Shirika la Helvets ambalo ni muwezeshaji wa Mifumo ya Chakula Jijini Mbeya amesisitiza kuzingatia utoaji wa elimu ya lishe kwa makundi yote kuanzia watu wazima,watoto waliopo shuleni na vijana balehe ili kuweka usawa juu ya utoaji wa elimu ya lishe na waweze kunufaika na lishe sambamba na kujenga kizazi kijacho chenye afya bora.

Kutoka Idara ya elimu msingi Jiji la Mbeya Bi Betha Gerald ameeleza miongozo imeweka bayana kuwa ni wajibu wa mzazi kuchangia chakula pia ni haki ya mtoto kupata chakula akiwa shule mpaka sasa asilimia 44.8 ya wanafunziwa shule za

Sekondari za Serikali  wazazi wao ndio waliochangia chakula shuleni hivyo ameiomba Halmashauri kuendelea kuweka mkazo kwenye sheria ndogo kwa kuwabana wazazi na kuwakumbusha kuwa kuchangia chakula shuleni ni lazima na sio hiari.

Mkakati huu wa wa lishe ni muendelezo ambapo halamshauri ya Jiji la Mbeya kwa kushirikiana na wadau wameweka jitihada za kuhakikisha jamii inaondokana na mitazamo hasi na mila potofu juu ya masuala ya na uchangiaji wa huduma ya utoaji chakula shuleni.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.