• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WADAU WAENDELEA KUTOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAPOROMOKO ITEZI

Imewekwa Tarehe: April 20th, 2024

Wadau Jijini Mbeya wameendelea kuwafariji wahanga wa maporormoko ya tope Itezi Mbeya, ambapo  kampuni ya Gr City Company limited imetoa kilo 500 za mchele, kilo 150 za unga na mafuta ya kupikia  lita 30 huku kwa upande wa machifu mkoa wa mbeya wakitoa unga,mchele na maharage.

Akieleza Mkurugenzi wa Kampuni ya Gr City inayojihusisha na biashara ya hoteli Jijini Mbeya, Machemba Gomano  amesema kuwa   wameguswa na  kilichotokea siku za kadhaa zilizopita huku akisistiza kuwa kuendelea kuwa na subira hasa kwa kipindi hiki kigumu.

Kwa upande wa machifu wakiongozwa na Chifu Rocket Mwanshinga amesema maafa hayo yaliyojitokeza hapana budi kuendelea kumuomba mungu kwa pamoja   huku wakichangia  mahitaji ya chakula  ikiwa  ni moja ya kuwafariji wahanga hao.

Pamoja na  hayo diwani wa Kata ya Itezi  Mhe. Sambwe Shitambala  ameendelea kutoa shukrani kwa wadau wanaoendelea kuguswa na maafa ambapo amesema kaya 16 ambazo zimepoteza mali zote watapatiwa na magodoro na fedha  kwa ajili ya kuwasaidia kujikimu kwa kipindi hiki.

Ayoub Mwakijaja ambaye ni Mhanga ameishikuru Serikali kwa kuona umuhimu wao na kuonesha nia ya dhati  ya kuwasaidia na kuwafariji  na kwamba wanapitia kipindi kigumu kutokana na kupoteza mali zao na makazi.

Kaimu mkrugenzi wa  Halmashauri ya Jiji la Mbeya Annamary Joseph amesema  miongoni mwa vifaa na mahitaji yaliyotolewa ni pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia kamati ya maafa wamechangi  mahitaji mbalimbali muhimu na  wadau mbalimbali,  na kuwaomba wadua kuendelea kujitokeza kwa wingi kuwafariji wahanga hao.

Wahanga hao kwasasa wanasubiri uamuzi wa serikali na taarifa rasmi kutoka wa wataalamu  itakayoamua hatma ya wakazi hao kuendela kuishi eneo hilo au kuondoka.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.