• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AAGIZA KUWA JUMAMOSI KUWA NI SIKU YA MAZOEZI NCHINI

Imewekwa Tarehe: May 11th, 2024

Tamasha la riadha la Mbeya  Tulia marathon limefikia tamati leo huku Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ambapo amewakumbusha wakuu wa mikoa nchini na wakuu wa wilaya kutenga siku ya jumamosi kuandaa mfumo utakaowawezseha wananchi katika maeneo yao kufanya mazoezi ili kusaidia kukinga mwili dhidi ya magonjwa.

Aidha mhe. Mjaliwa amempongoza Mhe. Dkt. Tulia kuanzisha taasisi ya Tulia trust  ambapo inaratibu mashindano hayo ya Mbeya tulia marathoni kwa maana fedha zi nazokusanywa kwenye tamasha hilo zinakwenda kusaidia kwenye sekta ya elimu na elimu.

Pamoja na hayo mashindano hayo yanafungua fursa kwa wakzi wa mbeya kunufaika kibiashara kutokanana idadi ya wageni wanaoingia mkoani Mbeya kushiriki mashindano hayo.

Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa umoja wa mbunge Duniani Dkt. Tulia Ackson amesema  Mbeya mjini inataka kufanya jambo litakalolisogeza taifa kwenye eneo la riadha huku mipango ya kujenga miundombinu ambapo ni takribani hekari 15 zinahitajika  kwa ajili ya kujenga kituo cha riadha kwa vijana watakao kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera amesema uwepo wa Mhe. Dkt. Tulia Mkoa wa Mbeya umenufaika kwa kiasi kikubwa hasa kwenye sekta za maendeleo amekuwa chachu ya Jiji la Mbeya na Mkao wa mbeya kukua kwa kasi.

Mhe. Homera amewataka wanambeya hususani wakazi wa Jimbo la Mbeya kushirikaina Mhe. Dkt Tulia ili kusukuma mbele gurudumu la maendeleo .

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.